Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu ngoja niagize moja ya mwisho, kama wakichelewa kuchamba..... Itabidi niondoke tu....[emoji5] [emoji5] [emoji5]Kwa kweli ngoja tuone kwanza
Ndo hivyo mkuu,kuna mwizi alikamatwa akachambwa na mzaramo hadi akajifia mwenyewe bila kuguswa hata na jiwe.Kumbe wazaramo ndo wahusika mkuu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuchamba =kumsuta mtu, kuondoa mabaki ya haja katika ikulu yako
Kutawaza
Maana nyingine ni kumsema mtu etiKwahiyo mtu mzma anatawazwa mana huwa wanasema amemchamba mtu alafu mtu mwenyewe si mtoto