Dah Mungu akubariki sana kwa kunijuza so kwa hiyo injini mswaki bei yake ipo chini sio?Injini mswaki ni injini ambayo ina baadhi ya vifaa na baadhi hamna. Inakuwa na imefungwa vizuri na cylinder head yake na cover, piston, block camshaft na vitu vyote ya ndani coil na plugs. Lakn haina accessories kama oil pump,nozeli,D4, water pump, na vitu vingine kama hivyo vya juu ila ndani ni intact. I hope hii itakusaidia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
So mkuu hivi kuna injini mswaki toka dubai/japan pale ilala?Ni injini iliyowahi kutumika sehemu flan lkn haijakamilika. Kuna vitu vinakuwa vimetolewa.
ZipoSo mkuu hivi kuna injini mswaki toka dubai/japan pale ilala?
ooh kumbeNi injini iliyowahi kutumika sehemu flan lkn haijakamilika. Kuna vitu vinakuwa vimetolewa.