Nini maana ya injini used mswaki

Nini maana ya injini used mswaki

infomania

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2014
Posts
242
Reaction score
159
Habari Wana jamiiforums,

Nini maana ya injini used mswaki?
 
Injini mswaki ni injini ambayo ina baadhi ya vifaa na baadhi hamna. Inakuwa na imefungwa vizuri na cylinder head yake na cover, piston, block camshaft na vitu vyote ya ndani coil na plugs. Lakn haina accessories kama oil pump,nozeli,D4, water pump, na vitu vingine kama hivyo vya juu ila ndani ni intact. I hope hii itakusaidia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni injini iliyowahi kutumika sehemu flan lkn haijakamilika. Kuna vitu vinakuwa vimetolewa.
 
Injini mswaki ni injini ambayo ina baadhi ya vifaa na baadhi hamna. Inakuwa na imefungwa vizuri na cylinder head yake na cover, piston, block camshaft na vitu vyote ya ndani coil na plugs. Lakn haina accessories kama oil pump,nozeli,D4, water pump, na vitu vingine kama hivyo vya juu ila ndani ni intact. I hope hii itakusaidia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Mungu akubariki sana kwa kunijuza so kwa hiyo injini mswaki bei yake ipo chini sio?
 
Back
Top Bottom