Tanzania tuna safari ndefu sana.Huna tofauti na wale wafungwa wanaosamehewa na rais halafu wanaenda kutendaa uhalifu siku hiyo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Kilugha chetu ni matusi makubwa!
Ashakumu si matusi maana yake nyuma ambayo ni nyeusi kupita kiasi yaani nyuma nyeusi ile mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha habari kimerekebishwa itakua. Ye mwenyewe anajua hiyo Kunduchi alivyoiandika hapo awaliTanzania tuna safari ndefu sana.
Sasa kwa huu uzi wake kafanyaje tena hadi astahili ban kwa mara ingn?
[emoji119][emoji119][emoji119]Huna tofauti na wale wafungwa wanaosamehewa na rais halafu wanaenda kutendaa uhalifu siku hiyo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee hiyo sehemu basi ina laanaKwa Kilugha chetu ni matusi makubwa!
Ashakumu si matusi maana yake nyuma ambayo ni nyeusi kupita kiasi yaani nyuma nyeusi ile mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo hata mimi nimeshangaa kuambiwa nmetenda uhalifuTanzania tuna safari ndefu sana.
Sasa kwa huu uzi wake kafanyaje tena hadi astahili ban kwa mara ingn?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Kwa nini anauliza kundu?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania tuna safari ndefu sana.
Sasa kwa huu uzi wake kafanyaje tena hadi astahili ban kwa mara ingn?
Mkuu na wewe unasaka ban?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu na wewe unasaka ban?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaa....!Hahah daah watakua wananikosea mkuu,wawajibishe waliobuni maneno hayo mkuu.
Kuna uzi watu wanajadili maana ya Neno Kumalija,usikute washachezea ban tayari hahah.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili neno lina maana pana enzi hizo ilipokuwa biashara ya utumwa katika ukanda wa pwani ulitawaliwa na waarabu sasa eneo au kituo walichokuwa wakichukuliwa watumwa walikuwa wakipitishwa ukanda huo unaoitwa leo kundichi na kupakiwa kwenye boti au meli zao kwenda utumwani na kumbuka enzi hizo nguo ilikuwa hawavalishwi ni mwendo wa mnyororo sasa hao waarabu wa enzi hizo walivyokuwa wakiwaona wakiletwa pale walikuwa wakicheka na kuwaita ona ile iko kund...uch. ndio historia ya hilo jina lilipo anziaWakuu habari za siku,
Nilipigwa ban kidogo
Naomba kujua nini maana ya jina la hilo eneo?
Au kwa yeyote anayejua maana ya jina Kisauke, maana kuna shule huko Kunduchi inaitwa Kisauke.
Sent using Jamii Forums mobile app