Nini maana ya jina Kunduchi?

Nini maana ya jina Kunduchi?

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
16,695
Reaction score
20,633
Wakuu habari za siku,

Nilipigwa ban kidogo

Naomba kujua nini maana ya jina la hilo eneo?

Au kwa yeyote anayejua maana ya jina Kisauke, maana kuna shule huko Kunduchi inaitwa Kisauke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Kilugha chetu ni matusi makubwa!

Ashakumu si matusi maana yake nyuma ambayo ni nyeusi kupita kiasi yaani nyuma nyeusi ile mbaya


Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20191221-181836.png
 
Mkuu, hebu usituchoshe. Kunduchi huijui wewe?! Au unatuchora?
 
Tanzania tuna safari ndefu sana.

Sasa kwa huu uzi wake kafanyaje tena hadi astahili ban kwa mara ingn?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Kwa nini anauliza kundu?. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari za siku,

Nilipigwa ban kidogo

Naomba kujua nini maana ya jina la hilo eneo?

Au kwa yeyote anayejua maana ya jina Kisauke, maana kuna shule huko Kunduchi inaitwa Kisauke.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili neno lina maana pana enzi hizo ilipokuwa biashara ya utumwa katika ukanda wa pwani ulitawaliwa na waarabu sasa eneo au kituo walichokuwa wakichukuliwa watumwa walikuwa wakipitishwa ukanda huo unaoitwa leo kundichi na kupakiwa kwenye boti au meli zao kwenda utumwani na kumbuka enzi hizo nguo ilikuwa hawavalishwi ni mwendo wa mnyororo sasa hao waarabu wa enzi hizo walivyokuwa wakiwaona wakiletwa pale walikuwa wakicheka na kuwaita ona ile iko kund...uch. ndio historia ya hilo jina lilipo anzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom