Heshima mbele wakuu.
Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu.
ASANTENI SANA.
duh!
sijui hata ulifikiria nini???
mie nijue maana ya
Jakaya
=mzalendo kwa wageni
Mrisho
=mtiifu kwa chama
Kikwete
=mwaminifu wa mikataba
Mkapa
=mweka hazina
Membe
=mtaalam wa kinga
Lukuvi
=mratibu wa elim
Wasira=mzee wa utalii
hahaha, mkuu siku hizi hata ukiweka meno na kucha store watakunyoa kipara na chupa, lohniko tayari kukosolewa
hahaha, mkuu siku hizi hata ukiweka meno na kucha store watakunyoa kipara na chupa, loh