Nini maana ya jina Nyerere?

Nini maana ya jina Nyerere?

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Heshima mbele wakuu.

Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu.

ASANTENI SANA.
 
duh!
sijui hata ulifikiria nini???
mie nijue maana ya
Jakaya
Mrisho
Kikwete
Mkapa
Membe
Lukuvi
Wasira
 
Heshima mbele wakuu.

Kwa anaye fahamu maana ya jina Nyerere atufahamishe tafadhali. Nadhani ni vyema kujua maana ya jina la muasisi wa taifa letu.

ASANTENI SANA.


Kuna sehemu niliona Nyerere ni udodi ambayo ni aina fulani ya mimea itumikayo kusukia vikapu
 
duh!
sijui hata ulifikiria nini???
mie nijue maana ya
Jakaya
=mzalendo kwa wageni
Mrisho
=mtiifu kwa chama
Kikwete
=mwaminifu wa mikataba
Mkapa
=mweka hazina
Membe
=mtaalam wa kinga
Lukuvi
=mratibu wa elim
Wasira=mzee wa utalii

niko tayari kukosolewa
 
Back
Top Bottom