Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 938
- 581
Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataalamu wa Sheria mnaitwa huku, mbona mko kimya sana huku kwenye Jukwaa lenu la Sheria!!???Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.
Kesi ikitupiliwa mbali,unaweza kutuma maombi katika mahakama iliyotupilia mbali hiyo kesi kutengua/kufuta(set-aside dismissal order)kwa kutoa sababu zenye mashiko ya kuomba juu ili kesi yako iwe restored baada ya hapo kesi hiyo itaendelea ilipoishi kwani mtapangiwa tarehe kwa ajili ya kesi.Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.