Ninaomba ufafanuzi wa kisheria maana ya kesi kutupiliwa mbali na je ikitupiliwa mbali haiwezi funguliwa Tena?,na kama ikifunguliwa tena mnaanzia pale mlipoishia au inaanza upya Tena.?.Asante I.

Kesi ikitupiliwa mbali,unaweza kutuma maombi katika mahakama iliyotupilia mbali hiyo kesi kutengua/kufuta(set-aside dismissal order)kwa kutoa sababu zenye mashiko ya kuomba juu ili kesi yako iwe restored baada ya hapo kesi hiyo itaendelea ilipoishi kwani mtapangiwa tarehe kwa ajili ya kesi.