Nini maana ya kifo cha Mende?

Mende akifa mara nyingi hulala chali...yani mgongo chini miguu juu
 


Nimekuwa nikiwasikia baadhi ya watu wakisema hili neno la kifo cha Mende, sasa nikawa najiuliza hili neno huwa lina maana gani?




kifo cha mende ni KULALA CHALI....na ki kwasababu mende ukimlaza chali hainuki tena mpaka anakufa.......
 
umesikia hivi karibuni au zamani zamani kidogo.........lolest
 
Hahahahaha!!!Hehehehehe!!!Aaaaah!!kumbe maana yake ndo hiyo eti eeeeeee!!!sasa nimejua nini maana ya kifo cha mende!!
 
Si kujua nini maana ya kifo cha mende na kuwekewa mifano harisi mkuu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…