T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,674
- 29,643
Hahahahakifo cha mende maana yake mende amekufa,...mbona huulizi na kifo cha panya? Y mende?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahakifo cha mende maana yake mende amekufa,...mbona huulizi na kifo cha panya? Y mende?
Nimefurahi kwa sababu nimeona mende kafambona umefurahi sana mkuu!!!!
Hahahaha eti eeeeeeee!!Mgongo chini tumbo juu ndio maana halisi ya kifo cha mende. Inaelekea hawa wadudu wakikaribia kufa hujigeuza hivyo ili waweze kuona vizuri mbinguni 🙂🙂