Raphael gadau JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,006 Reaction score 306 Sep 26, 2017 #1 Nkekuwa nasikia mara nyingi neno kuhonga likitumika sana utasikia gari lile mbona kahongwa au simu ile kahongwa tu hana lolote kwa anayejua maana yake.[emoji122]
Nkekuwa nasikia mara nyingi neno kuhonga likitumika sana utasikia gari lile mbona kahongwa au simu ile kahongwa tu hana lolote kwa anayejua maana yake.[emoji122]
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 26, 2017 #2 Maana ya kuhongwa ni kupewa kitu bure aghalabu zawadi kwa mpenzi wako kwa minajili mbalimbali
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 26, 2017 #3 toa pesa au zawadi ili kupata kitu, usichokistahiki au kwa haraka; toa rushwa. toa zawadi kwa mwanamke au mwanamume kwa nia ya kupata mahaba.
toa pesa au zawadi ili kupata kitu, usichokistahiki au kwa haraka; toa rushwa. toa zawadi kwa mwanamke au mwanamume kwa nia ya kupata mahaba.
ni ngumu JF-Expert Member Joined Sep 25, 2016 Posts 4,292 Reaction score 7,197 Sep 26, 2017 #4 Kutoa bila sababu ya msingi ya kutoa
Karao JF-Expert Member Joined Apr 25, 2011 Posts 1,052 Reaction score 585 Sep 28, 2017 #5 Kuhongwa ni kupewa zawadi ambapo lazima urudishe fadhila kwa penzi
mwandende JR JF-Expert Member Joined Aug 6, 2017 Posts 1,090 Reaction score 1,336 Sep 28, 2017 #6 Ni kutoa kitu au pesa kwa lengo la kupata kitu bila kufata utaratibu....au kuhonga ni kumpa kitu au pesa mwanamke kwa lengo la mapenzi..
Ni kutoa kitu au pesa kwa lengo la kupata kitu bila kufata utaratibu....au kuhonga ni kumpa kitu au pesa mwanamke kwa lengo la mapenzi..