Nini maana ya kuhonga

Nini maana ya kuhonga

Raphael gadau

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,006
Reaction score
306
Nkekuwa nasikia mara nyingi neno kuhonga likitumika sana utasikia gari lile mbona kahongwa au simu ile kahongwa tu hana lolote kwa anayejua maana yake.[emoji122]
 
Maana ya kuhongwa ni kupewa kitu bure aghalabu zawadi kwa mpenzi wako kwa minajili mbalimbali
 
toa pesa au zawadi ili kupata kitu, usichokistahiki au kwa haraka; toa rushwa.

toa zawadi kwa mwanamke au mwanamume kwa nia ya kupata mahaba.
 
Kuhongwa ni kupewa zawadi ambapo lazima urudishe fadhila kwa penzi
 
Ni kutoa kitu au pesa kwa lengo la kupata kitu bila kufata utaratibu....au kuhonga ni kumpa kitu au pesa mwanamke kwa lengo la mapenzi..
 
Back
Top Bottom