Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
[emoji460] [emoji460] [emoji475]unajua kule kinamaanisha kuna academi za hizo tim ndo maan wanainyesha kwamba kuna watoto
Kwa bongo hakuna Yakima?Nachojua mimi wale wanakua ama watoto yatima imekaa kusocialize
Aiseemiaka ya zamani mashibiki walikua na tabia ya kupiga wachezaji wa tim pinzani na chupa za maji au ki2 chochote pale wachezaji wanavoingia uwanjani. wazungu wakaona dawa yake ni kuingia na watoto uwanjani. mashibiki wakaacha kurusha chupa kwa hofu kwamba ile chupa inaweza kumkosa mchezaji na kumpiga mtoto...ila ckuiz mambo haya hamna kwaio kuingia na watoto uwanjani imebaki kama utamaduni tu. pia ni njia ya mapato kwa club maana watoto huwa wanalipiwa hela na wazazi ili kuingia uwanjani
Kwa wale wanaofauatilia mpira mmekuwa mkiona wachezaji wakiingia na watoto uwanjani hasa wenzetu wa ulaya. Je hii huwa Ina maana gani na kwa timu za bongo mbona sijawahi kuona wakifanya hivyo?
Nooop ile ni sign yakuonyesha kua wana hadi timu ndogo/academy na kuwafanya watoto waupende mchezo...Sasa ukisema yatima wakati mwingine wachezeji wanakua na watoto wao kabisaWale watoto wazazi wao wanalipia hela nyingi sana ili kushikana mkono na wachezaji hasa maarufu
uko sahihi, huwa wanalipia hata mwaka mmoja kabla....Ile ni biashara, wazazi wanaomba kwa uongozi kwa ajili ya watoto wao, na pia wanalipia, ila kuna wakati timu zinajitolea watoto wenye mahitaji kuwasaidia na kisha kuwapa nafasi hizo
Mh hapa kila mtu ana lake sijui nishike lipi
Ile ni biashara, wazazi wanaomba kwa uongozi kwa ajili ya watoto wao, na pia wanalipia, ila kuna wakati timu zinajitolea watoto wenye mahitaji kuwasaidia na kisha kuwapa nafasi hizo