Lukub JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 3,622 Reaction score 4,100 Jan 2, 2017 #21 Jibu ni kuonyesha fair play football sio vita mnatakiwa na mioyo kama ya watoto wanapocheza mchezo hakuna hasira nk
Jibu ni kuonyesha fair play football sio vita mnatakiwa na mioyo kama ya watoto wanapocheza mchezo hakuna hasira nk
kombaME JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,115 Reaction score 2,818 Jan 2, 2017 #22 jaman duuh, ile ni kuwainspire watoto waliopo kwenye soccer academy zao.. ni hilo tu!!
akili akili JF-Expert Member Joined May 5, 2014 Posts 1,737 Reaction score 1,102 Jan 3, 2017 #23 Angalau nimetoa tongotongo hapa... Vipi kuhusu hii ya 'mgeni rasmi ' kukagua timu na kutambulishwa wachezaji mbona Ulaya siiioni, ilianza vipi nayo?
Angalau nimetoa tongotongo hapa... Vipi kuhusu hii ya 'mgeni rasmi ' kukagua timu na kutambulishwa wachezaji mbona Ulaya siiioni, ilianza vipi nayo?