Nini maana ya kuingia na watoto uwanjani?

Nini maana ya kuingia na watoto uwanjani?

Jibu ni kuonyesha fair play football sio vita mnatakiwa na mioyo kama ya watoto wanapocheza mchezo hakuna hasira nk
 
jaman duuh, ile ni kuwainspire watoto waliopo kwenye soccer academy zao.. ni hilo tu!!
 
Angalau nimetoa tongotongo hapa... Vipi kuhusu hii ya 'mgeni rasmi ' kukagua timu na kutambulishwa wachezaji mbona Ulaya siiioni, ilianza vipi nayo?
 
Back
Top Bottom