Apitakujilamba
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 205
- 82
Maana inategemea na mazingira
kuna kumkonyeza mtu kama anataka kuongea kitu hapo ina maanisha unamstopisha asiongee
mpo kwenye watu wengi ukamkonyeza hiyo ni salamu
uuuh hilo konyezo lingine ndo nalipenda mie ila sijui lina maanisha nini
nikikonyezwa na mtu nnaempenda huwa nalegea kabisa....
Sipendi kabisa mana inakufanya hauwi comfortable kabisa hadi aibu sasa wengine wakiona hivo ndo wanazidisha kabisa
Maana inategemea na mazingira
kuna kumkonyeza mtu kama anataka kuongea kitu hapo ina maanisha unamstopisha asiongee
mpo kwenye watu wengi ukamkonyeza hiyo ni salamu
uuuh hilo konyezo lingine ndo nalipenda mie ila sijui lina maanisha nini
nikikonyezwa na mtu nnaempenda huwa nalegea kabisa....QUOTE]
LA jicho tamu zaidiNa konyezo zur ni lip? la kwny paji la uso ama la jicho? japo la jicho gumu sn kulipiga
Na konyezo zur ni lip? la kwny paji la uso ama la jicho? japo la jicho gumu sn kulipiga
[emoji6]Maana inategemea na mazingira
kuna kumkonyeza mtu kama anataka kuongea kitu hapo ina maanisha unamstopisha asiongee
mpo kwenye watu wengi ukamkonyeza hiyo ni salamu
uuuh hilo konyezo lingine ndo nalipenda mie ila sijui lina maanisha nini
nikikonyezwa na mtu nnaempenda huwa nalegea kabisa....
πππππSwali langu ni kama lilivyo hapo juu, nini maana ya kukonyeza.
Kama wewe ni wa kike ukakonyezwa na mwanaume ni nini kitakuja kwenye akili yako yani utatafsiri vipi konyezo hilo na utajisikiaje na kama wewe ni wa kiume, binti akikukunyeza unaweza ukatafsiri vipi na utajisikia vipi?
Kwenye hizi smart phones na gadgets nyinginezo utakuta mtu anakutumia ki-emoji cha 'wink' π ama barabarani, mgahawani ama mahala popote panapokutanisha watu unaweza kuta mtu anakukonyeza.
Je wajua maana yake na wakati gani mtu akitumia konyezo ni halali na wakati gani ni jinai?
πnikikonyezwa na mtu nnaempenda huwa nalegea kabisa....