Apitakujilamba
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 205
- 82
Maana inategemea na mazingira
kuna kumkonyeza mtu kama anataka kuongea kitu hapo ina maanisha unamstopisha asiongee
mpo kwenye watu wengi ukamkonyeza hiyo ni salamu
uuuh hilo konyezo lingine ndo nalipenda mie ila sijui lina maanisha nini
nikikonyezwa na mtu nnaempenda huwa nalegea kabisa....
Dogo una vituko wewe