Nini maana ya kukonyeza?

Nini maana ya kukonyeza?

Kukonyeza Haswaa ni salamu ambayo ni ishara hutolewa kwa mtu ambae hauna mazoea nae ama una mazoe nae,na kwa muda huo ulio muona aidha alikuwa bize ama yupo sehemu ambayo ni vigumu wewe kumfikia ama wewe upo sehemu ambayo ni vigumu yeye kukufikia!!
 
wengine wanaumwa macho hivyooo. Usiumize kichwa kutafuta maana.
 
Basi mimi ni malaya niliyekubuhu maana napenda sana kukonyeza si mwanaume wala mwanamke wote wa saizi yangu na watoto.

Hahahaha. Kwanini unapenda? Huwa unamaanisha nini ukiwa unakonyeza?
 
embu mkonyeze mwanajeshi utapata majibu yote
 
Sipendi wanaume wanaokonyeza naona kama kanionaje kuna wengine unakuta mbele za watu anazidisha hasa konyezo la kihuni
 
Sipendi wanaume wanaokonyeza naona kama kanionaje kuna wengine unakuta mbele za watu anazidisha hasa konyezo la kihuni

Mi napenda sana kumkonyeza mwanamke mrembo ambaye kila nikimuangalia namkutanisha naye macho
When she feel uneasy i like it,ile anavyoweweseka ndo kabisaaaaaa
 
Mi napenda sana kumkonyeza mwanamke mrembo ambaye kila nikimuangalia namkutanisha naye macho
When she feel uneasy i like it,ile anavyoweweseka ndo kabisaaaaaa

Sipendi kabisa mana inakufanya hauwi comfortable kabisa hadi aibu sasa wengine wakiona hivo ndo wanazidisha kabisa
 
Mimi supervisor wangu anapenda sana kunikonyeza mpaka nimemzoea...
Ni swagga tu...yeye huwa anatumia kama hi.....hasa tukikutana kwenye vikao ambavyo vina watu wengi...na wala hafanyi kwa siri...ndio tabia yake ya kutoa hi bila kutumia sauti...
 
Back
Top Bottom