NgomaNzito JF-Expert Member Joined Jan 10, 2008 Posts 559 Reaction score 28 Mar 27, 2009 #1 Nimekuwa nikisikia kila siku ohh jamaa kapewa shavu ohh shavu hilo ohh shavu linakuja hilo. Hivi ni shavu lipi la usoni? Sasa sieliwi maana yake mwenye kuelewa atueleweshe hapa kwenye elimu mchanganyiko
Nimekuwa nikisikia kila siku ohh jamaa kapewa shavu ohh shavu hilo ohh shavu linakuja hilo. Hivi ni shavu lipi la usoni? Sasa sieliwi maana yake mwenye kuelewa atueleweshe hapa kwenye elimu mchanganyiko
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,562 Reaction score 3,715 Jun 11, 2020 #2 Kupewa shavu ni kupewa mchongo (mpango) wa kuingiza pesa.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Jun 11, 2020 #3 Lugha za mtaani yaani kupewa connection ya jambo zuri litakalokuingizia kipato cha muda mrefu Kupewa shavu ni tofauti na kupewa dili. Dili mara nyingi ni la muda mrefu na pato lake ni la chap chap... Shavu mara nyingi ni kazi au cheo kazini
Lugha za mtaani yaani kupewa connection ya jambo zuri litakalokuingizia kipato cha muda mrefu Kupewa shavu ni tofauti na kupewa dili. Dili mara nyingi ni la muda mrefu na pato lake ni la chap chap... Shavu mara nyingi ni kazi au cheo kazini