Nini maana ya kupewa shavu?

Nini maana ya kupewa shavu?

NgomaNzito

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Posts
559
Reaction score
28
Nimekuwa nikisikia kila siku ohh jamaa kapewa shavu ohh shavu hilo ohh shavu linakuja hilo. Hivi ni shavu lipi la usoni?
Sasa sieliwi maana yake mwenye kuelewa atueleweshe hapa kwenye elimu mchanganyiko
 
Kupewa shavu ni kupewa mchongo (mpango) wa kuingiza pesa.
 
Lugha za mtaani yaani kupewa connection ya jambo zuri litakalokuingizia kipato cha muda mrefu
Kupewa shavu ni tofauti na kupewa dili.

Dili mara nyingi ni la muda mrefu na pato lake ni la chap chap... Shavu mara nyingi ni kazi au cheo kazini
 
Back
Top Bottom