Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya dhambi za kibinadamu na dhambi za kishetani. Dhambi za kibinadamu ni kwa bahati mbaya lakini dhambi za kishetani ni kufanya kitu kibaya kwamakusudi kabisa ukijua hilo ndilo agano lako na shetani. You have to sign your name in Blood as a convenant with satan. Katika ulimwengu huo wa roho unaosema sarafu na utambulisho wao Ni Damu na maagano yake ni DamuNiwaambie kitu:
Hauhitaji kuandikishana vyeti na mikataba kuonesha umeuza nafsi kwa shetani. Ni wewe tu na moyo wako.
Pia vivyohivyo hauhitaji vyeti na makabrasha eti nimebatizwa, sijui nimefunga ndoa au nimeokoka. Ni wewe tu na moyo wako.
Matendo ya mtu huwasilisha na kuwakilisha vile aaminivyo rohoni. Na ndio atajua mwenyewe nafsi kaielekeza wapi, kwa Mungu au Shetani au yeye mwenyewe.
Mtu akiishi na kutenda kwa namna inayomtukuza Mungu, hahitaji vyeti huyo huyo ni wa Mungu.
Na mtu akiishi na kutenda kwa namna inayoutukuza ushetani huyo hahitaji mkataba wala cheti wala tatoo, huyo amejiuza kwa shetani.
Ukiishi kwa kutenda na kutukuza kuwaumiza watu waliokuamini na kukutegemea basi umeuza nafsi kwa shetani. Nitatoa mifano;
1. Mpenzi anakuamini wewe unakosa uaminifu, anaumia na wewe unafurahia na kuona ndo sahihi huo ni ushetani🤕
2. Mwananchi anakuamini wewe unamfisadi na anaumia na unaona huo ndio usahihi na unautukuza bro, huhitaji kusaini mikataba wewe ni mshetani
3. Bossi anakuamini na kukupa kazi, unamzunguka na anaumia hapo bado unasubiri taarifa ya habari kujijua kuwa ni ushetani unafanya?
4. Msanii anayeimba kujenga jamii na kumtukuza Mungu, upendo wa kweli etc huyo 'kauza nafsi' kwa Mungu. Na yule anayeyabomoa maadili na kutukuza ushetani huyo kauza nafsi kwa shetani. Hahitaji kuwa amewahi kukaa sijui na nani wakaandikishana. Ni yeye tu na hiyari zake anajichagulia na kuwa tayari. Mmeelewa!??
5. Umefungua kiwanda, badala ufuate mikakati ya ubora na afya, unatumia kemikali sumu kuhifadhi vya kuliwa. Wateja wanakula wanashuka kiafya. Hapo ndugu umefanya kazi kishetani. Na umepata faida (malipo ya dhambi yako) kubwa hapo duniani. Hapo hauhitaji kuandika mkataba tayari nafsi yako inajishuhudia kuwa unaupenda ushetani na unafurahia kufanya kazi yake na anakulipa vizuri.
Ndugu wananchi, pamoja na badison tambueni kwamba mambo ya ki roho ni siri sirini nafsini mwa mtu mwenyewe. Usitake hadi ajichore au aandike au aape hadharani ndio useme kauza nafsi. Na kwa kusema hivyo jichunge wewe mwenyewe binafsi usije kuwa umeuza kipqnde cha nafsi bila kujua. Ni hayo tu.
Na nnajua akili mnazo, zitumieni kujenga hoja hapa tujadili.
Umefanya utafiti wapiEndelea mkuu ila mwisho wa bunyeto ni Ushoga.
Hili unalosema n kweli tatizo watu hatusomi tunachukulia vitu kwa upeo wetu tu lkn kuuza nafsi ipo na ni kweli inafanyika IPO kwa namna nyingii ibada hufanywa na sadaka hutolewa kwa kuuza nafsi na mwisho wa siku nafsi lazima ulipie faida ya manufaiko aliyopewa na shetani .... Wapi watu wengi mashuhuri tu wamefanya hivi vitu mtu ukisoma kwa undani ndio utaelewaKuna tofauti kubwa sana kati ya dhambi za kibinadamu na dhambi za kishetani. Dhambi za kibinadamu ni kwa bahati mbaya lakini dhambi za kishetani ni kufanya kitu kibaya kwamakusudi kabisa ukijua hilo ndilo agano lako na shetani. You have to sign your name in Blood as a convenant with satan. Katika ulimwengu huo wa roho unaosema sarafu na utambulisho wao Ni Damu na maagano yake ni Damu
Kuna page inaitwa koon.ru imeeleza vizuri jinsi ya kufanya kuanzia mahitaji, spell za kusoma, dhabihu za kutoa l, unafanyaje hiyo ibada yaan ni Kila ktu mpk unamalzaje na historian za watu waliofanya... Vilevile hata faida, hasara na maonyo wameelezea so niww tu kusoma na kuelewa usichoke maana ni wakaraka mrefu kiasi but unaeleweka... So surch kuuza nafsi then funguo hiyo page usome if unahitaj kufanya hvyoUnaiuzaje sasa hiyo nafsi niiuze yangu....nitajilike
Kuna page inaitwa koon.ru imeeleza vizuri jinsi ya kufanya kuanzia mahitaji, spell za kusoma, dhabihu za kutoa l, unafanyaje hiyo ibada yaan ni Kila ktu mpk unamalzaje na historian za watu waliofanya... Vilevile hata faida, hasara na maonyo wameelezea so niww tu kusoma na kuelewa usichoke maana ni wakaraka mrefu kiasi but unaeleweka... So surch kuuza nafsi then funguo hiyo page usome if unahitaj kufanya hvyoUnaiuzaje sasa hiyo nafsi niiuze yangu....nitajilike
Sasa ukimuuzia nafsi shetani, yeye shetani anapata pata faida Gani kwenye hiyo nafsiKuna page inaitwa koon.ru imeeleza vizuri jinsi ya kufanya kuanzia mahitaji, spell za kusoma, dhabihu za kutoa l, unafanyaje hiyo ibada yaan ni Kila ktu mpk unamalzaje na historian za watu waliofanya... Vilevile hata faida, hasara na maonyo wameelezea so niww tu kusoma na kuelewa usichoke maana ni wakaraka mrefu kiasi but unaeleweka... So surch kuuza nafsi then funguo hiyo page usome if unahitaj kufanya hvyo
Anapata faida ya nafsi Yako... Yaani yeye anakupa kile unachokitaki mfano umaarufi, Mali,maarifa kwa MDa mliokubaliana kama miaka 20 ect.. baada ya huo mda kupita yeye anachukua nafsi Yako kama mlivyokubaliana yeye ndio anajua ataifanyia nn lakn naona n unaenda kumtumikia.Sasa ukimuuzia nafsi shetani, yeye shetani anapata pata faida Gani kwenye hiyo nafsi
Sawa nime kuelewa ,Sasa nafsi yangu ina msaidia Nini shetani?Anapata faida ya nafsi Yako... Yaani yeye anakupa kile unachokitaki mfano umaarufi, Mali,maarifa kwa MDa mliokubaliana kama miaka 20 ect.. baada ya huo mda kupita yeye anachukua nafsi Yako kama mlivyokubaliana yeye ndio anajua ataifanyia nn lakn naona n unaenda kumtumikia.
Shammylovie SEMA shetani anapata faida Gani anapochukua nafsi yangu?Sawa nime kuelewa ,Sasa nafsi yangu ina msaidia Nini shetani?
Yy ndio anajua n faida gan anaipata lkn navyoona anaongea wafuas wakumtumikia... Hivyo anakutimizia tamaa zako anapata mfuas wakeShammylovie SEMA shetani anapata faida Gani anapochukua nafsi yangu?
😂😂😂😂Wapi huo mkataba unapatikana. Huwa naitafuta sana mikataba kama hiyo