Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

Kwa mpalange ni mtaa uko buza, na mpalange ni jina la watu, familia kabisa inaitwa mpalange na kwa mpalange kunaitwa hivyo kwasababu wao walikuwa wakazi wenyeji wa eneo hilo,
Sema sasa wajingawajinga (sitaki tunia neno waswahili, maana waswahili haina maana ya upumbavu) wanaona hilo neno linavyosound kuwa linachekesha na wanalipa maana mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…