nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
Kwa mpalange ni mtaa uko buza, na mpalange ni jina la watu, familia kabisa inaitwa mpalange na kwa mpalange kunaitwa hivyo kwasababu wao walikuwa wakazi wenyeji wa eneo hilo,Habari wadau wa jamvini,
Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati.
Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange.
Juzi kati nilikuwa kwenye usafiri wa umma yani daladala mbele yangu walikua wamekaa wasichana wawili mmoja wao akisema jana baba fulani alikua anataka Kwa Mpalange akisema ni patamu.
Baada ya maongezi yao wakaishia kucheka nilitamani kuwauliza ila siku na mazoea nao.
Nikaona si haba nije tujuzane maana halisi ya msemo Kwa Mpalange maana nijuavyo Kwa Mpalange ni mtaa uliopo Buza Dar es Salaam sasa nini maana yake nyingine mpaka watu wengi wakiutumia msemo huu hasa kwa wanawake.
Funguka hapo chini mdau [emoji116]
Sema sasa wajingawajinga (sitaki tunia neno waswahili, maana waswahili haina maana ya upumbavu) wanaona hilo neno linavyosound kuwa linachekesha na wanalipa maana mbaya