Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

Nini maana ya 'Kwa Mpalange'

mbona imekuwa msemo wasichana wengi hutumia na kusema natoa kwa mpalange au ukitaka kwa mpalange unapata hapo nashindwaga kuelewa kabisa kwamba wanakupa umiliki wa mtaa wa mpalange au
Wewe mzoefu na unataka wadau
 
tupe kidogo mkuu na sie tufaham
Njooo riverside ubungo mida ya saa 4 usiku ndo utajua vizuri hii misemo inamaana yake. Wanajua unataka mbele au nyuma na dau lako . ndio hiyo kwio naskia pale mi nikajua ni kawaida ni nyimbo tu. Kumbe ni ishara mwanawane
 
Back
Top Bottom