DOKEZO Nini maana ya likizo ikiwa muda wa likizo ukifika wanafunzi wanaambiwa waendelee kwenda shule

DOKEZO Nini maana ya likizo ikiwa muda wa likizo ukifika wanafunzi wanaambiwa waendelee kwenda shule

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ahsante mleta mada.Kimsingi walimu tunaliangamiza taifa kwani tunadumaza akili za watoto.Sisi ndiyo tuliopandikiza hofu kwa wanafunzi dhidi ya mtihani wa taifa na kusababisha jamii isahau wajibu wa kumlea mtoto kwa kumfundisha mengi yaliyo mema na kumrudi mtoto akikosa.Mtoto anaondoka usiku kwenda shule na kurudi nyumbani usiku na wakati wa likizo yuko shule,informal education anajifunz
a lini?Je,akihitimu masomo yake elimu aliyopata kwa mfumo huu inamwezesha kujitegemea?Tuliomaliza elimu ya msingi mwanzoni mwa miaka ya 90 na kurudi nyuma mbona mfumo huu hatukutumia na tulifaulu?Mlio karibu na Profesa Mkenda muulizeni anaizungumziaje hali hii kama Waziri mwenye dhamana?
 
Back
Top Bottom