Nini maana ya "MAANA" ?

Hali ya uchumi Tanzania inafanya watu wachanganyikiwe kabisa
 
Hapana mkuu, ile inaitwa mana na sio maana.
Tena sio mana bali ni manna. Kwa kukazia herufi "n" . Shukrank kwa ukumbusho aisee,nilikuwa nimesahau neno hili ila nilipo ona ukosoaji wako juu ya hilo ndio nimekumbuka,kweli binadamu tuliumbiwa kusahau.
 
Nikisema mtoa post hajui kiswahili nitakuwa sina kosa!!
Utakuwa unakosea sana. Nitakupa faida juu ya tamko hili maana. Unajua kuna watu kila kitu wanakichukulia juu au kwa wepesi sana,nilipouliza nini maana ya maana nilikuwa namaanisha,sababu watu hawajui kutoa maana ya maneno au vitendo.

Naendelea kusoma hoja...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…