General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Nini maana ya swali maana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena sio mana bali ni manna. Kwa kukazia herufi "n" . Shukrank kwa ukumbusho aisee,nilikuwa nimesahau neno hili ila nilipo ona ukosoaji wako juu ya hilo ndio nimekumbuka,kweli binadamu tuliumbiwa kusahau.Hapana mkuu, ile inaitwa mana na sio maana.
Utakuwa unakosea sana. Nitakupa faida juu ya tamko hili maana. Unajua kuna watu kila kitu wanakichukulia juu au kwa wepesi sana,nilipouliza nini maana ya maana nilikuwa namaanisha,sababu watu hawajui kutoa maana ya maneno au vitendo.Nikisema mtoa post hajui kiswahili nitakuwa sina kosa!!
Wenye kujua maana yake watakwambia.Nini maana ya swali maana?