Nini maana ya makadirio?

Nini maana ya makadirio?

julius nashon

Member
Joined
Mar 1, 2020
Posts
10
Reaction score
3
Nini maana ya makadirio?

Na nini maana ya kumwambia Mteja aende akakadiriwe wakati hata akijitetea vipi
kodi iko palepale, tena kauli inayotumika
Eti hiyo imeisha tunaomba uachie wengine nafasi tuwasikilize

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom