dreamliner boeing
Member
- Apr 5, 2018
- 6
- 1
Naombeni kujuzwa maana ya "Masuria"
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukrani kwa mchango mkuuHabari yako mkuu, nifahamuvyo neno masuria ktk ulimwengu wa kiislam ni jina la mateka wa kivita wanawake, ambao walitekwa katika vita ya waislam na wasio waislam.
Ahsante kwa ufafanuzi mzuriMfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300....
Neno 'Masuria' ni Wanawake wa hali ya chini wajiuzao (wasio halali kwako, Nyumba ndogo, Michepuko)
Karib sana.Shukrani kwa mchango mkuu
Shukrani mkuuMfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300....
Neno 'Masuria' ni Wanawake wa hali ya chini wajiuzao (wasio halali kwako, Nyumba ndogo, Michepuko)
Bunned inakuhusu mod wapiNaombeni kujuzwa maana ya "Masuria"
Natanguliza shukrani.
Sio kweli ,alikuwa nao 300 tu + 700 wakezeMasuria ni watumwa wa kike ambao kwa Sheria za zamani ulikuwa unaweza jisevia bila hatia. Mfalme Solomon alikuwa nao 700! Concubines!