Nini maana ya masuria?

Nini maana ya masuria?

Habari yako mkuu, nifahamuvyo neno masuria ktk ulimwengu wa kiislam ni jina la mateka wa kivita wanawake, ambao walitekwa katika vita ya waislam na wasio waislam.
 
Masuria ni watumwa wa kike ambao kwa Sheria za zamani ulikuwa unaweza jisevia bila hatia. Mfalme Solomon alikuwa nao 700! Concubines!
 
Mfalme Suleiman alikuwa na wake 700 na Masuria 300....

Neno 'Masuria' ni Wanawake wa hali ya chini wajiuzao (wasio halali kwako, Nyumba ndogo, Michepuko)
 
Back
Top Bottom