Nini maana ya mchakato wa ajira?

Nini maana ya mchakato wa ajira?

mimi nina moni au ushauri, naomba matokeo ya oral interview yawekwe wazi ili msailiwa afahamu alifaulu kwa kiwango gani.
 
Tangazeni kazi vijana tuombe...toka mwaka unaanza huu hakuna kazi...inamaana hakuna uhitaji tena huko serekalini?tumaumia mtaani toeni kazi tupambane
 
Bro Mimi nahisi washawahi kuua sema hatujui, Awekwe mtu wa ushauri nasaha before starting the Exams yani, kama dkk 5 atoe ushauri nasahama... Unless watu watakufa sana....mtu ana stress za maisha huko kaja kapiga zake 68.5 wanachukua mtu wa 69😭
Aisee hawa jamaa watatuua imenikuta hii kitu sio poa kbsaa dah
 
Sekretarieti ya Ajira toeni matokeo ya MDA na LGA
 
Bro Mimi nahisi washawahi kuua sema hatujui, Awekwe mtu wa ushauri nasaha before starting the Exams yani, kama dkk 5 atoe ushauri nasahama... Unless watu watakufa sana....mtu ana stress za maisha huko kaja kapiga zake 68.5 wanachukua mtu wa 69[emoji24]
[emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom