Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo unamfukuza mpangaji wako kisa kakwama Kodi, miaka kadhaa una majanga unamkua mahala ambapo yeye ndio last say wa hiyo changamoto yakoHuu msemo wa Waswahili "hujafa hujaumbika" huwa una maana gani?
Huu msemo bila shaka ni tata, hau connectHujafa hujaumbika maana yake hakuna anayetegemea kama ataweza
Kupata kilema cha kudumu baada ya maradhi au ajari
Ni kama yule dada alikuwa mke wa sajuki marehemu nimemsahau jina yule alikuwa mzima mguu lkn leo mguu moja hana
Ama PROFESSOR JAY leo anatembelea wheel chair no
Hakutegeme kabisa at is age kama atakutwa na maswaibu hayo
Hvyo msemo huo usimama baada ya mtu aliyemzima kila kiungo then kupate kilema cha kudumu mfan kama hao nikiowaongelea
Hvyo uwaongelea zaidi wale wanaojivunia na uzima na kufanya mambo ya hatari bira kujari au dharau
Maana yake ni hii.Huu msemo wa Waswahili "hujafa hujaumbika" huwa una maana gani?
Kabisa, heshimu Kila mtuLolote linaweza kukukuta mda wowote heshimu kila mtu na usimcheke mtu pindi anapitia magumu
Hapa mwanga umeonekana kiasi japo huwa naona pia ukitumika katika hali nyinginezo tofauti na hii kabisaMaana yake ni hii.
PINDI UNAPOKUWA UMEKUFA YANI HAUNA UHAI TENA MAUMBILE UNAYOKUWA NAYO WAKATI HUO NDO TUNASEMA NI UUMBWAJI WAKO HALISIA. UMEZALIWA UMEKAMILIKA ILA UMEKUFA HUKU UKIWA NA MGUU MMOJA TUNASEMA HAYO NDO MAUMBILE YAKO.
NDOMANA MSEMO HUU HUTUMIKA HASWA KWA WATU WANAOWABEZA VILEMA HUWA WANAAMBIWA "USICHEKE HUJAFA HUJAUMBIKA" IKIMAANISHA ILIHALI BADO UNAISHI BASI LOLOTE LINAWEZA KUKUTA NA LIKAKUBADILISHA MAUMBILE YAKO.
Akili kubwa.Wanaokufa ni walioumbwa tayari, kama hujaumbwa utakufaje, meaning visivyoexist haviwezi kufa
Mfano hali gani?Hapa mwanga umeonekana kiasi japo huwa naona pia ukitumika katika hali nyinginezo tofauti na hii kabisa