Nini maana ya msemo huu?

Nini maana ya msemo huu?

bubbs

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
361
Reaction score
178
'Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.'

literally, inamaanisha, uwe mpole kwa manesi kwasababu watagoma kukusaidia kuzaa. Haha.

Kiukweli maana yake ni nini?
 
Maana yake usimdharau mtu ambaye ni msaada kwako.
 
Kiswahili ni rahisi sana,haya maana Hii hapaaa. Waheshimu uwategemeao kwa manufaa ya baadaye.
 
Manake usiwatukane walioko madarakani wakati wewe mwenyewe huna uhakika wa kuingia ikulu. Kila siku unachoweza ni maandamano tu na mikutano ya fujo.
 
Back
Top Bottom