bubbs JF-Expert Member Joined Feb 2, 2013 Posts 361 Reaction score 178 Apr 26, 2013 #1 'Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.' literally, inamaanisha, uwe mpole kwa manesi kwasababu watagoma kukusaidia kuzaa. Haha. Kiukweli maana yake ni nini?
'Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.' literally, inamaanisha, uwe mpole kwa manesi kwasababu watagoma kukusaidia kuzaa. Haha. Kiukweli maana yake ni nini?
kingfish JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 571 Reaction score 159 Apr 27, 2013 #2 Maana yake usimdharau mtu ambaye ni msaada kwako.
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,411 Reaction score 4,777 May 1, 2013 #3 Kiswahili ni kigumu sana
Pro J Member Joined May 3, 2013 Posts 8 Reaction score 1 May 3, 2013 #4 Kiswahili ni rahisi sana,haya maana Hii hapaaa. Waheshimu uwategemeao kwa manufaa ya baadaye.
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,771 May 3, 2013 #5 Manake usiwatukane walioko madarakani wakati wewe mwenyewe huna uhakika wa kuingia ikulu. Kila siku unachoweza ni maandamano tu na mikutano ya fujo.
Manake usiwatukane walioko madarakani wakati wewe mwenyewe huna uhakika wa kuingia ikulu. Kila siku unachoweza ni maandamano tu na mikutano ya fujo.