Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake.
Naomba ufafanuzi asanteni
Naomba ufafanuzi asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maana yake ni kumshenyenta,kumtafuna kizazi.Nasikia tu huu usemi kua mwanamke hapigwi bali anapigwa kwa upande wa khanga sasa adi Leo sijui maana yake.. Naomba ufafanuzi asanteni
Kaongooo wewemaana yake ni kumshenyenta,kumtafuna kizazi.
NAKAZIAhapigwi kwa mangumi utamuumiza bali kwa upande wakanga hauumizi maana ake mpige na pesa yani mnagombana wewe mwagie mifweza
kivipiKaongooo wewe
Ulichosemakivipi
mwanamke anapigwa na dudu sasa uongo hapo uko wapi,acha ukorofi mkuu takudunda sasahivi!Ulichosema
Ahah nguvu za kunidunda unazo?mwanamke anapigwa na dudu sasa uongo hapo uko wapi,acha ukorofi mkuu takudunda sasahivi!
sana tu mpk hunyanyukiAhah nguvu za kunidunda unazo?
Ahhah jaribusana tu mpk hunyanyuki
🙄Ahhah jaribu
Nione uwezo