Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nimeota sana hiyo ndoto na ni kipindi niko advance level. Ndoto hiyo inamaanisha victory, satisfaction and strength katika mambo unayofanya.Nimekuwa nikiota ndoto nikiwa napaa na kuelea angani mara nyingi na kurudi chini, lakini katika mawazo yangu ningetamani niendelee kupaa tena, ni ndoto nzuri kuiota,lakini sijuwi inamaanisha nini iwapo mtu akiota ndoto ya namna hii.