Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi nilidhani msemo unasema yaliyo pita si mbele, kumbe sivyo!
Hao ndo wahenga buana, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaliyopita si ndwele..
Kiswahili jamani[emoji119]
πππMimi nilidhani msemo unasema yaliyo pita si mbele, kumbe sivyo!
Aisee nlikuw sjui pia[emoji38][emoji38][emoji38]Ndwele ni maradhi ambayo muuguaji anaugua akipona baada ya muda flani yanakuja kujirudia tena. Mara nyingi hujirudia kwa kipindi maalum mfano kila mwaka au miezi kadhaa