Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari zenu wanajamii forums
Leo naomba kuelekezwa maana ya neno NDWELE maana tunasema yaliyopita si NDWELE tugange yajayo sasa nini maana ya NDWELE maana ninalisikia kwenye huu msemo tu ila kwenye mazungumzo mengine halijitokezi sasa maana halisi ya NDWELE ni nini?