Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaaa hiyo ya mwisho ndo ilikuwa inanisumbuagaTamko Diwani ni tamko lenye asili ya Kiarabu na lina maana zaidi ya moja, na hizi ni miongoni mwazo.
1. Diwani ni sehemu ambayo huandikwa mambo ya kiserikali.
2. Diwani ni kiongozi katika dola.
3. Diwani ni daftari liliokisanya majina ya Wanajeshi ma mfano wake.
4. Diwani ni kitabu kilichokusanya mashairi mengi ya mtu mmoja au ya washairi kadhaa.