ni shule inayomuandaa mwanafunzi ili aje kuwa padre elimu yao ni nzuri sana ukipata nafasi ya kusoma seminari huwezi kupata division 4 kauli mbiu yao ni sala, kazi na masomo.
Ni kundi la watu wanaoneza seminar
seminar=Seminary
mision=Misionary
Bake =Bakery
Ruhusa kunikosoa maana nina div IV Points 46.
Mi napingana na wewe mbn kuna hadi islamic seminary inamaanisha na wao wanaandaa mapadri
Hizo zitakuwa athari za mfumo kikristuUtakuta waislam na wamejiandikia AL ANUUR ISLAMIC SEMINARY bila kujua neno semianry ni special kwa wakritu likimaanisha shule ya kuandaa vijana kuwa mapadre, wanadandia mambo bila kujua
S0188 KIRINJIKO ISLAMIC SEMINARY
Waislamu tumeparamia tu hilo neno bila kuelewa maana yake.Mi napingana na wewe mbn kuna hadi islamic seminary inamaanisha na wao wanaandaa mapadri
maana yake ni kitalu,sehemu ya kukuzia miche.,SO ni sehemu ya kuandaa na kukuza vijana walioitwa kwa wito wa upadre(kwenye msafara wa mamba na kenge wamo=si wote watakua na wito)
Hizo zitakuwa athari za mfumo kikristu
Hizo zitakuwa athari za mfumo kikristu