Nini maana ya neno hili 'seminari'

Nini maana ya neno hili 'seminari'

mbalila

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
824
Reaction score
161
pole na hongera kwa mapumuzizo ya jumamosi wana JF naomba wenye kujua maana halisi ya neno hili seminari anijuze asnte sana kwa michango itakayotolewa [h=3][/h]
 
Is a school that prepares students for priesthood, ministry or rabbinate.
Rabbinate is Jewish religious leader.
Hii according to dictionary.com
 
maana yake ni kitalu,sehemu ya kukuzia miche.,SO ni sehemu ya kuandaa na kukuza vijana walioitwa kwa wito wa upadre(kwenye msafara wa mamba na kenge wamo=si wote watakua na wito)
 
Ni kundi la watu wanaoneza seminar
seminar=Seminary
mision=Misionary
Bake =Bakery
Ruhusa kunikosoa maana nina div IV Points 46.
 
A seminary, theological college, or divinity school is an institution of secondary or post-secondary education for educating students (sometimes called seminarians) in theology, generally to prepare them for ordination as clergy or for other ministry. The English word is taken from the Latin seminarium, translated as seed-bed, an image taken from the Council of Trent document Cum adolescentium aetas which called for the first modern seminaries.[SUP][1][/SUP] In the West the term now refers to Roman Catholic educational institutes and has widened to include other Christian denominations and American Jewish institutions
 
ni shule inayomuandaa mwanafunzi ili aje kuwa padre elimu yao ni nzuri sana ukipata nafasi ya kusoma seminari huwezi kupata division 4 kauli mbiu yao ni sala, kazi na masomo.
 
ni shule inayomuandaa mwanafunzi ili aje kuwa padre elimu yao ni nzuri sana ukipata nafasi ya kusoma seminari huwezi kupata division 4 kauli mbiu yao ni sala, kazi na masomo.

Mi napingana na wewe mbn kuna hadi islamic seminary inamaanisha na wao wanaandaa mapadri
 
Utakuta waislam na wamejiandikia AL ANUUR ISLAMIC SEMINARY bila kujua neno semianry ni special kwa wakritu likimaanisha shule ya kuandaa vijana kuwa mapadre, wanadandia mambo bila kujua

[h=3]S0188 KIRINJIKO ISLAMIC SEMINARY[/h]
 
Ni kundi la watu wanaoneza seminar
seminar=Seminary
mision=Misionary
Bake =Bakery
Ruhusa kunikosoa maana nina div IV Points 46.

acha kupotosha wewe hujui humu pia kuna mbururas wanapita,wataamini bure
 
Utakuta waislam na wamejiandikia AL ANUUR ISLAMIC SEMINARY bila kujua neno semianry ni special kwa wakritu likimaanisha shule ya kuandaa vijana kuwa mapadre, wanadandia mambo bila kujua

S0188 KIRINJIKO ISLAMIC SEMINARY

Hizo zitakuwa athari za mfumo kikristu
 
umenena vema
ni kitalu cha kukuza vijana waje kuwa mapadri na sio vinginevyo
nami nimepitia humo kwa wale wanaoijua St James Seminary ya Jimbo katoliki la Moshi..wakati huo tukichuana na maua seminary na Uru seminary...enzi zetu tulikuwa wa pili Tanzania nzima...
sikuendelea na masomo hayo baada ya kidato cha sita nliamua kuingia UDSM nkajikuta wito umepotea nkachagua maisha mengine
Hao wengine wanaoibuka na maimuna seminary sijui wanajua maana yake au ndio kuiga tu.

maana yake ni kitalu,sehemu ya kukuzia miche.,SO ni sehemu ya kuandaa na kukuza vijana walioitwa kwa wito wa upadre(kwenye msafara wa mamba na kenge wamo=si wote watakua na wito)
 
waislam wanatafuta jina seminary hata maana yake hawajui,ni kweli ni sehemu maalum ya malezi kwa vijana wanaotaka kuwa mapadre tu.nawashauri na baadhi ya shule za waislam waziite SAINT(ST)
 
Hizo zitakuwa athari za mfumo kikristu

Sio athari za mfumo kristo.
Waislam,ukiitoa taaluma ya vita na taaluma nyingine za ajabu ajabu,hawajui lolote kuhusu elimu ya darasani na ndio maana wameiga kitu bila kujua maana yake.
Waambie ngumi sasa!weeeeeeeeeee....!
 
st. sheikh ilunga seminary. hii itakuwa poa (jamaa wamedandia hili neno seminary, lakini wanaweka islamic ili isomeke islamic seminary, hop hawakufanyia research ya kutosha hilo neno)
 
Back
Top Bottom