impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Tangu asubuhi napata notification kutoka forums mbalimbali kuhusu hiki kijarida uchwara cha watu wa magharibi kuwa kimemchafua RAIS WETU MPENDWA ila sijaelewa chochote maana maelezo mengi ya Kiingereza lakini kinachotangulia ni Rogue President hii ina maana gani? maana kizungu kimenitupa mbali