mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Dec 12, 2014 #1 wataalamu wa kiswahili nielewesheni wingi wa neno uwanja ni nyanja au viwanja,neno hili (NYANJA) utumiwa na waandishi wa habari utasikia na sasa ni nyanja za kibiashara au nyanja za kimataifa wanakuwa wanaamaanisha nini
wataalamu wa kiswahili nielewesheni wingi wa neno uwanja ni nyanja au viwanja,neno hili (NYANJA) utumiwa na waandishi wa habari utasikia na sasa ni nyanja za kibiashara au nyanja za kimataifa wanakuwa wanaamaanisha nini