Nini maana ya nyanja

Nini maana ya nyanja

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
wataalamu wa kiswahili nielewesheni wingi wa neno uwanja ni nyanja au viwanja,neno hili (NYANJA) utumiwa na waandishi wa habari utasikia na sasa ni nyanja za kibiashara au nyanja za kimataifa wanakuwa wanaamaanisha nini
 
Back
Top Bottom