nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata,
Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine wakisema ni mfano wa bahati,. Sio hilo tu nimesikia pia kama hufanikwi kasafishe vyota. Au Kuna watu wameibiwa nyota zao.
Tafadhali wajuzi wa mambo ya kiroho wanifafanulie maana ya nyota kama nilivyo sikia huku mtaa. Asanteni.