nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Duh haya mambo haya hivi taaluma ya unajimu ikoje?Tuwaulize pia wanajimu watakuwa na majibu sahihi maana hata mamajusi walimpata mtoto kristu kupitia nyota yake..
Utasikia tunasafisha nyota, haha how yaniMambo ya nyota ni utapeli
Bahati ni pale preparation itapokutana na fursa.
Kama uongo kaa ndani tu tuone kama nyota yako itakulisha msosi.
UKITAKA KUBORESHA MAISHA
MEDITATE AND PRAY.
Hamnaga kitu hichoUtasikia tunasafisha nyota, haha how yani
Haha wanadai zimechukuliwa na kamati ya roho mbaya.Hamnaga kitu hicho
Kila mtu angekuwa na life zuri sanaaa
ila mwafrika akishapata ELIMU anakuwa mtu hatari sana..Mambo ya nyota ni utapeli
Bahati ni pale preparation itapokutana na fursa.
Kama uongo kaa ndani tu tuone kama nyota yako itakulisha msosi.
UKITAKA KUBORESHA MAISHA
MEDITATE AND PRAY.
On howila mwafrika akishapata ELIMU anakuwa mtu hatari sana..
Aisee, Kuna wengine kila wakikomalia kusaka mkate wanafanikiwaNadhani kila MTU huwa anazaliwa na nyota ya mafanikio Ila mambo huaribika ktk ukuaji ,malezi n.k
Kubadilisha mazingira
Kubadilisha marafiki
Kubadilisha majina
Hizi zaweza kuwa njia za kumrudisha MTU katika hali yake re-born.
Nyota =kibali
Kibali ni pale utakpokuwa hautumii nguvu kubwa Ila mambo yanakunyookea tu.
Kwa hiyo ndugu mwandishi unataka kusema only solution ni kwenda kwa babu kunoga?Kwa sisi ambao tumetembea kwa wataalam wa Tiba za Jadi tunaelewa maana ya Swala lako..
waulize wanasiasa
madalali
wafanyabiashara
Kuna Shughuli huwezi kufanya kizembe zembe lazima 'mwili' uwe vizuri.
Kuna watu wanatembea wakiwa wamekufa kabisa, yani kila anachofanya ni kama hakiendi. Milango yake ya Rizki Haisongi vile inavyopaswa
Ndugu, ukiutaka ukweli, utafute nje ya mitandao.
Aisee, Kuna wengine kila wakikomalia kusaka mkate wanafanikiwa
Kabisa,,,Unajikuta unapata njugu tuuPia kuukosa mkate kunaweza kusababishwa na mazingira pia
Kiimani ni rahisi kuelewa mtu akikuambia una Baraka, ni kwa sababu anaona mafanikio fulani yanakupata,
Lakini huku uswahilini, nimesikia kuna watu wanasema "huyu jamaa Ana nyota." wengine wakisema ni mfano wa bahati,. Sio hilo tu nimesikia pia kama hufanikwi kasafishe vyota. Au Kuna watu wameibiwa nyota zao.
Tafadhali wajuzi wa mambo ya kiroho wanifafanulie maana ya nyota kama nilivyo sikia huku mtaa. Asanteni
Unaweza ukawa na bahati lakin nyota usiwe nayoSijui nyota ni nini
Ila najua nyota yako ikiwaka siku moja tu kwenye maisha yako basi dunia nzima itakujua. (Mf Messi, Obama, Ronaldo, na wengine wengi)
Kila mtoto anazaliwa na nyota yake, lakini ili nyota ile ifikie malengo kuna jitihada binafsi za mzazi na mtoto na wanaomzunguka.
Huku Africa kuna uchawi wa kuiba, kuzika, kufifisha, kuifunika, kuichafua, na kuigawa nyota. Sijui kwingine.
Jukumu lako ni kujua nyota yako ni ipi (kila mtu ana yake ya tofauti )na ufanyeje ili ing'ae kupita za wengine.
Wanasema ni nuksiKwa sisi ambao tumetembea kwa wataalam wa Tiba za Jadi tunaelewa maana ya Swala lako..
waulize wanasiasa
madalali
wafanyabiashara
Kuna Shughuli huwezi kufanya kizembe zembe lazima 'mwili' uwe vizuri.
Kuna watu wanatembea wakiwa wamekufa kabisa, yani kila anachofanya ni kama hakiendi. Milango yake ya Rizki Haisongi vile inavyopaswa
Ndugu, ukiutaka ukweli, utafute nje ya mitandao.
HowU awe
Unaweza ukawa na bahati lakin nyota usiwe nayo