proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
meditation na nofap ndio nyota mkuu pia prayMambo ya nyota ni utapeli
Bahati ni pale preparation itapokutana na fursa.
Kama uongo kaa ndani tu tuone kama nyota yako itakulisha msosi.
UKITAKA KUBORESHA MAISHA
MEDITATE AND PRAY.
Kila mtu akiwa anapigania kuipaisha nyota yake nani sasa anapenda awe chiniSijui nyota ni nini
Ila najua nyota yako ikiwaka siku moja tu kwenye maisha yako basi dunia nzima itakujua. (Mf Messi, Obama, Ronaldo, na wengine wengi)
Kila mtoto anazaliwa na nyota yake, lakini ili nyota ile ifikie malengo kuna jitihada binafsi za mzazi na mtoto na wanaomzunguka.
Huku Africa kuna uchawi wa kuiba, kuzika, kufifisha, kuifunika, kuichafua, na kuigawa nyota. Sijui kwingine.
Jukumu lako ni kujua nyota yako ni ipi (kila mtu ana yake ya tofauti )na ufanyeje ili ing'ae kupita za wengine.
fanya research kama unataka kujua zaidi
Hawa ni kina sheikh yahya. Wanajua mambo ya nyota nje ndani mkuuDuh haya mambo haya hivi taaluma ya unajimu ikoje?
Hawa ni kina sheikh yahya. Wanajua mambo ya nyota nje ndani mkuu
Mkuu, hivi kuna uhusiano gani kati ya meditation na mafanikio? Mafanikio yoyote si mpaka hela tu.Mambo ya nyota ni utapeli
Bahati ni pale preparation itapokutana na fursa.
Kama uongo kaa ndani tu tuone kama nyota yako itakulisha msosi.
UKITAKA KUBORESHA MAISHA
MEDITATE AND PRAY.
Kwani mimi nimesema chochote kuhusu pesaaaaa?????Mkuu, hivi kuna uhusiano gani kati ya meditation na mafanikio? Mafanikio yoyote si mpaka hela tu.
Ni ngumu kuboresha maisha bila hela.Kwani mimi nimesema chochote kuhusu pesaaaaa???
Hio ni yakoNi ngumu kuboresha maisha bila hela.
MTU anaweza kuwa anaishi Mwanza akashindwa kutoboa Ila akihamia Dar esSalaam akatoboa na kufanikiwa.
Binafsi ili upime Nyota yako Angalia zaidi uwanja wako wa mapambano ukoje.
The power of place can make someone to shine .
So Nyota ni illusion .