Nafikiri ni jambo fulani linalo endana kulingana na hisia ya mwanzo, na kukubaliwa kama sahihi hadi itakapothibitishwa vinginevyo ama vinginevyo. Inaweza ikatafasiriwa kitaalamu kama kesi ya awali ya utovu wa nidhamu.Nani anaweza kuelezea kwa unandani maana ya prima facie case?
Kuwa na mantiki au kuwa na mashiko au nguvu ya kisheriaNani anaweza kuelezea kwa unandani maana ya prima facie case?
Yaan there is a case to answerNani anaweza kuelezea kwa unandani maana ya prima facie case?