Nini maana ya prima facie case?

Nini maana ya prima facie case?

Nani anaweza kuelezea kwa unandani maana ya prima facie case?
Nafikiri ni jambo fulani linalo endana kulingana na hisia ya mwanzo, na kukubaliwa kama sahihi hadi itakapothibitishwa vinginevyo ama vinginevyo. Inaweza ikatafasiriwa kitaalamu kama kesi ya awali ya utovu wa nidhamu.
 
Prima facie =to the face of it. Kwa muktadha wa mwenendo wa kesi au shauri niseme tu ni mwonekano wa uwepo au kutokuwepo na kosa kabla ya hata kujitetea dhidi ya shitaka lenyewe. Katika jinai prima facie case hupatikana au kutopatkana kwenye rulling au hukumu ndogo kabla ya utetezi. Duh maelezo ya kiswahili magumu aisee!
 
Prime face case, yaani kesi inayomuhusu pisi kali. Kamba tayari.
 
Back
Top Bottom